Majaliwa: ACTIF 2025 itoe majibu biashara, uwekezaji pesatu.com

Waziri Mkuu ataka ACTIF 2025 kutoa majibu changamoto za kibiashara, uwekezaji

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Jukwaa la Nne la Biashara na Uwekezaji kati ya Afrika na Karibiani (ACTIF) linapaswa kuja na majibu ya changamoto za kibiashara na uwekezaji zinazoyakabili mataifa ya Afrika na yale ya eneo la Karibiani. Amesema kuwa changamoto hizo zinapaswa kujadiliwa kwa uwazi na kutaja bayana vikwazo vyote vinavyosababisha kutofanyika kwa…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 04 29 at 3.14.08 PM

Afrika yaaswa kuimarisha ukusanyaji rasilimali za ndani kukabili misaada inayopungua

Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Sauda Msemo, amezitaka serikali za Afrika, Kusini mwa Jangwa la Sahara kuimarisha ukusanyaji wa rasilimali za ndani ili kupunguza utegemezi mkubwa kwa misaada ya kigeni inayopungua. Akizungumza Aprili 28, 2025 katika mjadala ulioandaliwa na Shirika la Fedha Duniani (IMF) jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 04 25 at 11.18.47 AM

Afrika yashauriwa kuweka mikakati kukabiliana na mabadiliko ya sera za kiuchumi

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amezishauri nchi za Afrika kuweka mikakati ya kufanya uwekezaji na biashara ndani ya Bara la Afrika ili kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya sera za kiuchumi zinazojitokeza hivi sasa duniani. Dkt. Nchemba ametoa ushauri huo jijini Washington D.C, nchini Marekani wakati akichangia taarifa ya Mwaka ya utekelezaji ya majukumu…

Soma Zaidi
Screen Shot 2025 04 23 at 11.00.59 AM

Dkt. Mwigulu: Tanzania imejipanga kukabiliana na mabadiliko Sera za Marekani

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania imejipanga kukabiliana na mabadiliko ya sera za nje za Marekani kuhusu misaada kwa nchi za Afrika kwa kutumia rasilimali zake ndani kupitia Bajeti Kuu ya Serikali. Dkt. Nchemba amesema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika wa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks