Bilioni 647.5 kuitoa Kagera gizani
Serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) wamesaini mikataba ya mkopo yenye masharti nafuu ya dola za Marekani milioni 161.47 na euro milioni 110, mtawalia, sawa na shilingi 647.5bn. Mkopo huo utawanufaisha wakazi wa Mkoa wa Kagera kuondokana na changamoto ya kukosa umeme wa uhakika. Mikataba…
