Wanahabari za michezo kunolewa kwa ajili ya AFCON
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye amesema Serikali kupitia Wizara anayoiongoza na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, itawezesha mafunzo ya ndani na nje ya nchi kwa waandishi wa habari za michezo kwa ajili ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Akifungua TASWA Media Day Bonanza kwa…
