Rais Samia aenda Ghana
Rais Samia Suluhu Hassan anaondoka nchini leo kuelekea Accra, Ghana kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Akiwa nchini Ghana, Rais Samia anatarajia kushiriki mdahalo wa Wakuu wa Nchi utakaojadili fursa zilizomo na changamoto zinazozikabili nchi za Afrika ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa athari za mabadiliko ya tabia nchi, kupanda kwa bei…
