Kiswahili lugha rasmi Muungano wa Afrika
Muungano wa Afrika (AU) umeipitisha lugha ya Kiswahili, kuwa lugha rasmi ya kikazi ndani ya Umoja huo. Kiswahili pia kimeridhiwa kuwa lugha ya saba kutambuliwa na Umoja wa Mataifa (UN) duniani. Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Kirusi , Kiarabu na Kispanyola ni lugha nyingine zinazotambulika dunia. Consolata Mushi ni Kaimu Katibu wa Baraza la Kiswahili la Taifa…
