Wafanyabiashara mtandaoni watakiwa kujisajili
Wafanyabiashara kwa njia ya mtandao (kidigitali) sasa wametakiwa kujisaliji ili kurasimisha biashara zao na kuingizia serikali mapato kwa njia ya ulipaji kodi. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewataka watu wote wanaofanya biashara kwa njia ya mtandao kufika kwenye ofisi zao kujisaliji na kupata Namba ya Utambulisho ya Mlipakodi (TIN). Akizungumza katika kituo cha redio ,…
