Hizi hapa nchi 71 raia wake kuingia Tanzania bila VIZA

Hizi hapa nchi 71 raia wake kuingia Tanzania bila VIZA

Serikali ya Tanzania imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. kwa sasa watalii kutoka mataifa mengi zaidi duniani wanaruhusiwa kupata visa wanapowasili (visa on arrival) kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa kama Julius Nyerere (Dar es Salaam), Kilimanjaro na Zanzibar. Haya yamebainishwa na…

Soma Zaidi
sere

Serengeti yashinda tena

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imeendelea kung’ara baada ya kushinda Tuzo ya Hifadhi bora Afrika kwa mwaka 2023 (Africa’s Leading National Park 2023) ikiwa ni mara ya tano mfululizo. Tuzo hiyo imetolewa na ‘World Travel Awards’ na kupokelewa na Mkuu wa Kanda ya Magharibi wa Tanapa, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi, Izumbe Msindai usiku wa…

Soma Zaidi
uuu

Marekani, Kenya zaongoza utalii Tanzania

Marekani na Kenya zimetajwa kuwa ndio nchi zinazoongoza kwa watalii wanaotembelea Tanzania. Utalii wa Tanzania umeanza kuongezeka ambapo takwimu zinaonyesha kuwa kuanzia Januari mpaka Julai mwaka huu Tanzania imepata watalii 742,133 sawa na ongezeko la asilimia 62.7 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana ambapo kulikuwa na watalii 456,266. Kati ya watalii 742,133 walioingia nchini,…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks