Mbaazi za Tanzania zaondolewa ushuru India

mmm

Serikali ya India imeruhusu Tanzania kuingiza kiasi cha tani laki mbili (200,000) za mbaazi bila ushuru wa forodha (Free Import Regime) kuanzia sasa hadi Machi 2024.

Taarifa ya Wizara ya Kilimo imewahimiza wadau wa kilimo wenye nia ya kuuza mbaazi nchini India kuzingatia viwango vya ubora viavyohitajika katika soko la India.

“Mbaazi zitakazosafirishwa kwenda India zinafanyiwa ukaguzi na mamlaka za ukaguzi ikiwemo Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA),” imesema taarifa hiyo.


Discover more from PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Discover more from PesaTu – Habari za Biashara na Uchumi Tanzania

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading

Enable Notifications OK No thanks