Uingereza, Tanzania wajadili ushirikiano sekta ya kilimo
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza kwenye Sekta ya Biashara Lord Walney na kujadili maeneo mbalimbali ya ushirikiano katika Sekta ya Kilimo. Mazungumzo hayo yamefanyika Oktoba 26, 2023 katika ofisi ya Waziri Bashe, jijini Dodoma. Miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na maendeleo ya…
