Vilio vya wafanyabiashara masoko kuungua moto
“Hapa unavyoniona vitu vyangu vyote vimeungua, nimeanzisha biashara hii kwa fedha ya mkopo na vitu vyote vimeteketea hapa, bado sijamaliza kulipa deni, sijui nafanya nini na familia yangu tunategemea hii biashara, nimebaki na deni ambalo sijui hatma yake.” Huyu ni mmoja wa wafanyabiashara katika soko la Mbagala aliyekuwa sokoni hapo kujaribu kuokoa bidhaa zake baada…
