Screen Shot 2024 11 28 at 12.50.29 PM

Watanzania kupata zawadi kupitia risiti za kielektroniki

Katika kuhamasisha matumizi ya mashine za kielektroniki nchini, serikali inatarajia kufungua Tuzo ya Uzalendo ambapo wananchi wataweza kujipatia zawadi kupitia risiti za kielektroniki. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kongamano la Kodi, Robert Manyama, wakati wa Kongamano la Kodi lililofanyika Mkoani Kigoma. “Serikali ina jukumu kubwa la kuweka mikakati ya kuendelea kurasimisha biashara nchini na kuhamasisha…

Soma Zaidi
suluhu

Rais Samia atangaza mkakati bei ya mafuta

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassani ametangaza mkakati wa kubana matumizi ya Serikali katika bajeti ya matumizi ili kupata fedha za kupunguza makali ya ongezeko la bei ya mafuta nchini. Ongezeko hilo linalosababisha kuongezeka kwa bei za bidhaa na huduma mbalimbali. Katika taarifa ya Rais Samia kwa vyombo vya habari Mei 9, 2022 amesema Serikali…

Soma Zaidi
UTALII

Mapato utalii yaongezeka kwa 53%

Licha ya kuwepo kwa janga la Covid-19 ambalo limeathiri uchumi wa nchi nyingi duniani, mapato ya sekta ya utalii Tanzania yameongezeka kwa asilimia 53.7. Kwa mujibu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), hadi kufikia November 30, 2021 mapato yameongezeka na kufikia dola za Marekani bilioni 1.32 kutoka dola milioni 861.8 mwaka 2020. Ongezeko hilo, limechangiwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks