Soko la ndani la mitaji kusaidia nchi za Kusini mwa Afrika
Nchi za Kusini mwa Afrika zinaangalia namna ya kuendeleza soko la ndani la mitaji kwa kutumia hati fungani ili kuziwezesha kupata mikopo ya ndani. Hii ni kutokana na hali ya mikopo mingi ya kibiashara duniani kuwa ikipatikana kwa gharama kubwa. Akizungumza jijini Arusha kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt….
