Wanawake 200 wapata mafunzo ya biashara
Takribani wanawake 200 wamepata mafunzo ya biashara yaliyolenga kuwajengea uwezo. Mafunzo hayo yametolewa na benki ya NBC kwa wafanyabiashara katika kipindi cha maonesho ya Viwanda kwa Wanawake wajasiriamali kwa mwaka 2022. Neema Rose Singo amabae ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC amesema “tumetoa mafunzo kwa wanawake wafanyabiashara takribani 200, na tunaamini mafunzo haya…
