ttttt

Nyongeza ya 8,000 ni dhihaka kwa mfanyakazi: Tucta

Raisi wa Shirikisho la Vyama vya wafanyakazi TUCTA Tumaini Nyamhokya amesema wamewasilisha malalamiko yao kwa Serikali kwani Kiwango cha nyongeza ya mshahara iliyoongezwa katika mwezi Julai ni kinyume na ahadi iliyotolewa na Rais Samia siku ya Mei Mosi mwaka huu kwani baadhi ya watumishi wamepata nyongeza ya shilingi Elfu Nane na kuendelea. “Hoja kubwa iliyotuleta…

Soma Zaidi
anaa

Vijana 470 waitwa uhamiaji

Vijana 470 wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kwa nafasi ya konstebo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Jumamosi Februari 12, 2022 na Msemaji Mkuu wa Idara ya Uhamiaji, Mrajibu Paul Msele imesema vijana waliochaguliwa kujiunga wanatakiwa waripoti katika chuo cha uhamiaji kilichopo Boma Kichakamiba Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga, Februari 19, 2022. Idara ya uhamiaji…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks