Tanzania yaunda Taasisi kushughulikia malalamiko baina ya walipa na watoza kodi
Ofisi ya Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi (TOST), imewahakikishia walipakodi nchini kuwa itashughulikia malalamiko ya wafanyabiashara yanayohusiana na kodi kwa haki na usawa ili kuchochea ulipaji kodi kwa hiyari. Msuluhishi wa Malalamiko na Taarifa za Kodi Robert Manyama ameleza hayo alipokutana na wadau wa kodi jijini Dar es Salaam, katika ukumbi wa Kimataifa…
