Vijana watakiwa kuchangamkia fursa Chuo cha Bandari
Kaimu Mkuu wa Chuo cha Bandari cha Dar es Salaam (DMI) Dkt. Tumaini Gurumo amesema kuwa kuna fursa za kutosha kwenye chuo hicho vijana wazichangamkie ili wapate ujuzi na kuingia kwenye soko la ajira. Dkt. Gurumo ameeleza hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma. Akizungumzia maendeleo ya chuo hicho amesema kimeongeza udahili kutoka…
