WhatsApp Image 2023 10 09 at 11.52.05

Dola 1000 kwa vijana kukabiliana na mabadiliko tabia nchi

Vijana wapatao 10 kutoka mataifa mbalimbali duniani watapatiwa kiasi cha Dola za Kimarekani 1000 kwa ajili ya kuendeleza miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi. Haya yamebainika wakati Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula akihitimisha kongamano la Kimataifa la vijana kuhusu Mabadiliko ya Tabia nchi katika chuo Kikuu cha Dar es salaam….

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 10 09 at 11.36.31

Vijana 20 wapata ufadhili wa Rais Samia

Chuo cha Utalii kimepongezwa kwa kupokea vijana 20 kwa ajili ya kusomea masuala ya Utalii na ukarimu kupitia ufadhili wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Pongezi hizo zimetolewa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Mashaka Biteko wakati akifungua Kongamano la uwekezaji la Wilaya ya Pangani katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 06 13 at 17.29.32

Serikali kusajili wakulima

Katika kuboresha kilimo nchini, serikali imesema itafanya usajili wa wakulima ili kujua idadi gani ya watu wanajishughulisha kwenye kilimo. Rais Samia Suluhu Hassan amesema hayo wakati akihutubia katika tamasha la utamaduni lililofanyika Bulabo mkoani Mwanza. “Tunakwenda kuweka jitihada mbalimbali ili tukuze kilimo chetu. Cha kwanza tunachokifanya na ninaomba wakulima mnisikilize vizuri ni usajili wa wakulima…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 03 08 at 13.42.52

Ufaransa kuisaidia Tanzania ujenzi wa miundombinu

Ufaransa imesema ipo tayari kusaidiana na Tanzania katika ujenzi wa bandari itakayohudumia Tanzania na nchi jirani. Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa wa Ufaransa, Chrysoula Zacharopoulou amesema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba. “Ufaransa ipo tayari pia kutusaidia kukuza sekta binafsi ambayo imekuwa ikitoa ajira nyingi kwa…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks