WhatsApp Image 2023 11 24 at 15.33.34

Tanzania yaikaribisha kampuni za China kuwekeza Sekta ya Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian ambapo wamezungumza masuala mbalimbali ikiwemo uhusiano uliopo kati ya Tanzania na China na uwekezaji kwenye miradi ya Nishati. Mazungumzo hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam Novemba 24, 2023 na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali…

Soma Zaidi
WhatsApp Image 2023 03 17 at 11.46.35

Bilioni 647.5 kuitoa Kagera gizani

Serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika-AfDB na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) wamesaini mikataba ya mkopo yenye masharti nafuu ya dola za Marekani milioni 161.47 na euro milioni 110, mtawalia, sawa na shilingi 647.5bn. Mkopo huo utawanufaisha wakazi wa Mkoa wa Kagera kuondokana na changamoto ya kukosa umeme wa uhakika. Mikataba…

Soma Zaidi
tt

TANESCO yatangaza mgao wa umeme

Shirika la Umeme nchini (TANESCO) limetangaza rasmi kuanza mgao wa umeme wa siku 10 nchi nzima kuruhusu matengenezo ya mitambo ya kufua umeme kote nchini. Maharage Chande, Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco leo Ijumaa Januari 28, 2022 amesema mgao huo utaanza Februari Mosi hadi Februari 10 mwaka huu. TANESCO inaendelea na maboresho kwenye vituo vyake vya…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks