Mikataba bandari imezingatia maoni ya Watanzania: Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema Mikataba ya Uwekezaji wa Bandari iliyosainiwa imezingatia maoni yaliyotolewa kupitia makundi mbalimbali ya kijamii, pamoja na sheria na taratibu zote za nchi. Rais Samia ameyasema hayo Oktoba 22, 2023 wakati wa hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya uwekezaji katika Bandari ya Dar es…
