Tanzania yatenga Sh 48b mikopo wanafunzi wa Stashatada
Serikali ya Tanzania imetenga kiasi cha Sh bilioni 48 kwa ajili ya kutoa mikopo kwa wanafunzi 8,000 wa Stashahada (Diploma) katika mwaka wa masomo 2023/2024. Hayo yamebainishwa Oktoba 4, 2023 na Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda akieleza mchakato wa mikopo jijini Dar es Salaam. Amezitaja fani za kipaumbele kuwa ni pamoja na afya na…
