Vijana wanasajili bunifu nchi jirani: Nape
Kukosekana kwa Sera ya kampuni changa (Startups) kunawafanya baadhi ya vijana wa Tanzania kusajili bunifu zao nchi jirani. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema hayo katika kikao cha wadau mbalimabli kutoka ndani na nje ya nchi cha kujadili ushirikiano wa maendeleo juu ya uundwaji wa Sera ya Kampuni Changa za…
