Shirika la Reli Tanzania kumwaga ajira 2,460 mradi wa SGR
Shirika la Reli Tanzania linatarajia kuajiri wafanyakazi 2,460 katika mradi wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) kwa vipande viwili vya kutoka Dar es Salaam mpaka Makutopora. Hayo yamebainishwa wakati wa ziara ya siku mbili ya bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa reli ya kiwango…
