Bei za mafuta petroli, dizeli zashuka Tanzania
Watumiaji wa vyombo vya moto nchini wanaendelea kufurahia kushuka kwa bei za petroli na dizeli kwa mwezi wa tano mfululizo. Hata hivyo, watumiaji wa mafuta ya taa wanabaki na hasara kwa sababu bei yake imepanda. Kushuka na kupanda kwa bei hizo kumetangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kuanzia Jumatano…
