Misitu chanzo kikubwa fursa kiuchumi: Dkt. John
Ikiwa Tanzania ina zaidi ya hekta milioni 48 za misitu, wadau wametakiwa kuchangamkia fursa za kiuchumi zinazotokana na misitu na kushiriki kikamilifu katika uhifadhi wake. Hayo yalibainishwa na Mhifadhi Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Dkt. Elikana John, katika kongamano la maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani, lililofanyika Machi 20, 2025, katika…
