Uokaji, biashara inayokua kwa kasi
Soko la uokaji limetajwa kukua kwa kasi na hii inatokana na mtindo wa maisha ya sasa. Ofisa kutoka Chama cha Waokaji Tanzania (TBA) Simon Chamkali anasema watu wengi wanakula vyakula vya kuokwa hususani keki, mikate na vitafunwa vingine mbalimbali. “Kazi nyingi na uchovu unawafanya baadhi ya watu kula vitafunwa badala ya mlo kamili, hii imepelekea…
