Wananchi watakiwa kuwa na mahusiano mazuri na wawekezaji
Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko amezitaka jamii zinazonguka maeneo ya migodi kutangaza mazuri yanayofanywa na wawekezaji katika sekta ya Madini ili kuwatia moyo wa kufanya shughuli za madini. Dkt. Biteko ameyabainisha hayo, Julai 22, 2022 akiwa katika ziara yake kijiji cha Kagerankanda wilaya ya Kasulu alipotembelea mgodi wa Kampuni ya Life Business unaochimba madini…
