Bilioni 34.5 kusaidia huduma za afya ya uzazi
Dola za Kimarekani milioni 15 sawa na Tsh. bilioni 34.5 zitatolewa kusaidia kuimarisha utoaji wa huduma za afya ya Uzazi ,Mama na Mtoto kwa kipindi cha miaka mitatu. Msaada huo unatolewa na Taasisi ya Suzan Thompson Buffet Foundation (STBF) yenye Makao Makuu yake nchini Marekani. Hayo yamebainishwa katika mazungumzo baina ya Waziri wa Afya, Ummy…
