PURA yatakiwa kuendelea kuvutia wawekezaji utafutaji mafuta na gesi
Serikali imeielekeza Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli( PURA) kuendelea kuvutia uwekezaji katika vitalu vilivyo wazi vya mafuta na gesi asilia ili kuongeza kiasi cha nishati hiyo nchini. Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa maelekezo hayo Februari 19, 2025 Wilayani Morogoro, Mkoa wa Morogoro wakati akifungua kikao cha Baraza la wafanyakazi…
