Mapato sekta ya madini yaongezeka
Serikali imesema mpango wake ni kuhakikisha kuwa sekta ya madini inachangia asilimia 10 au zaidi katika Pato la Taifa ifikapo 2025. Ukuaji wa Sekta ya Madini umeongezeka kutoka asilimia 9.4 Mwaka 2021 hadi kufikia asilimia 11.3 Mwaka 2023 kutokana na kuendelea kuimarika kwa Sekta, Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa utaongezeka na…
