Tsh Bilioni 14.3 kutumika ujenzi wa maabara ya kuchunguza madini
Tsh Bilioni 14.3 kutumika ujenzi wa maabara ya kuchunguza madini Takribani Shilingi bilioni 14.3 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa maabara kubwa na ya kisasa ya uchunguzi wa sampuli za madini ambayo itakuwa ni kubwa kuliko zote kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati na ambayo itatoa huduma ya kimaabara kwa ubora na kwa uharaka kwa…
