Madini ya ujenzi, viwandani, soko vyaibeba Dar es Salaam
Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini kwa mwaka wa fedha 2024/2025, baada ya kufanikisha makusanyo ya Shilingi Bilioni 23.02 kufikia mwezi Mei, sawa na asilimia 125 ya lengo la mwaka. Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa huo ilipangiwa kukusanya Shilingi Bilioni 18.36,…
