Muonekano wa Kiwanda cha Majaribio cha Kuchenjua Urani cha Mantra Tanzania Limited kilichopo katika Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, kilichozinduliwa na Rais Dkt. Samia pesatu.com

Uchumi wa Tanzania kuendelea kukua Rais Dkt. Samia akizindua mradi wa urani wa Dola 1.2bn

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inaendelea kupiga hatua muhimu katika safari yake ya kujenga uchumi wa kisasa unaotegemea maarifa, teknolojia na rasilimali za ndani. Rais Dkt. Samia maeyasema hayo Julai 30, 2025 wakati akizindua kiwanda cha majaribio cha uchenjuaji wa madini ya Urani kilichopo Wilaya ya Namtumbo…

Soma Zaidi
Enable Notifications OK No thanks