Mashamba yaliyotelekezwa miaka 30 kufufuliwa Kilolo
Bodi ya chai imedhamiria kuyarejesha mashamba ya chai yaliyotekelezwa kwa miaka 30 wilayani Kilolo, mkoani Iringa. Mkurugenzi wa Bodi ya Chai, Mary Kipeja amebainisha hayo wakati bodi hiyo ilipokutana na wadau wa zao la chai wa Wilaya humo kujadiliana njia bora za kuendeleza zao hilo. Amesema, mashamba hayo ambayo kwa sasa yanaendelea kusafishwa yataongeza ajira…
