Mahindi ya Tanzania yenye thamani ya Dola milioni 22 kununuliwa na WFP
Shirika la Chakula Duniani (WFP) limepanga kununua tani 60,000 za mahindi meupe yenye thamani ya takribani Dola za Marekani milioni 22. WFP linatarajia kununua mahindi hayo kutoka kwa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) na Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (CPB). Akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa Randama ya Mashirikiano…
