Waziri Mkuu azindua migahawa ya kahawa inayotembea
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezindua Migahawa ya Kahawa inayotembea ikiwa ni mkakati wa kuongeza ushiriki wa vijana katika mnyororo wa thamani wa Tasnia ya Kahawa nchini. Majaliwa amezindua migahawa hiyo Agosti 1, 2024 baada ya kufungua Maonesho ya Kilimo ya Kimataifa ya Nane Nane 2024 yanayofanyika Kitaifa kwenye Viwanja…
