Rais Mwinyi: Tutaweka mkazo uzalishaji mwani Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali yake inakusudia kuweka mkazo zaidi kwenye sekta ya mwani ili kuzalisha bidhaa zenye ubora na kuzipatia soko la uhakika. Dk. Mwinyi ameyasema hayo Agosti 21, 2024, Ikulu Zanzibar wakati akizungumza na Balozi wa Umoja wa Ulaya Tanzania Christine Grau. Amesema…
