Vijana 763 wa BBT awamu ya kwanza wahitimisha mafunzo
Vijana wa programu ya Jenga Kesho iliyo Bora (Bulding A Better Tomorrow – BBT) wamehitimu mafunzo katika Vituo Atamizi vinavyopatikana kwenye Vyuo vya Kilimo vilivyopo sehemu mbalimbali nchini. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amekutana na kuzungumza na kuwapongeza kwa kumaliza salama mafunzo hayo Agosti 28, 2023 jijini Dodoma. Waziri Bashe amewataka vijana hao kutambua kuwa…
