Wakandarasi wanawake wapewa elimu ya fedha
Wakandarasi wanawake wa Kitanzania wamepewa elimu kuhusu masuala ya fedha na Benki ya NMB. Elimu hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam, wakati wa mkutano wa wakandarasi hao uliandaliwa na Chama cha Wakandarasi Wanawake Tanzania (TWCA). Akizungumza wakati wa kongamano hilo, Afisa Mkuu Huduma Shirikishi wa Benki ya NMB, Nenyuata Mejooli amesema benki hiyo imedhamiria kwa…
