Biteko: Sekta ya madini ni nguzo muhimu maendeleo ya nchi
Sekta ya Madini imetajwa kuwa nguzo muhimu na chachu ya maendeleo ya uchumi wa nchi kupitia rasilimali madini iliyopo nchini. Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ameeleza hayo Oktoba 25, 2023 alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Ufunguzi wa Jukwaa la Madini…
