Serikali Yawekeza Chuoni Mkwawa 18 Billion kuinua Elimu ya Juu
Serikali Yawekeza Chuoni Mkwawa 18 Billion Kuifanya Elimu ya Juu Kuwa Injini ya Maendeleo na Ubunifu Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, imedhamiria kuifanya elimu ya juu nchini kuwa kitovu cha mabadiliko ya kiuchumi na maendeleo. Nia hii imedhihirika wazi kupitia utekelezaji wa Mradi…
