Kiwanda cha kuchakata taka kuwa mbolea chazinduliwa
Kiwanda cha kuchakata na kuzigeuza taka kuwa mbolea halisi cha Mabwepande kilichojengwa kwa gharama ya Shilingi Bilioni 6 ikiwa ni ufadhili wa Serikali ya Ujerumani na Tanzania kupitia ushirikiano baina ya Jiji la Dar es salaam na Jiji la Hamburg kimezinduliwa. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla amezindua kiwand hicho na kusema…
