Misitu, asali kutumika kama zao jipya la utalii
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ametaka eneo la misitu na asali kufanyiwa utafiti wa kutosha ili litumike kama zao jipya la utalii. Amewataka watendaji wa sekta ya Misitu na Nyuki kukamilisha mkakati wa kuongeza uzalishaji wa asali kutoka tani 35,000 za sasa hadi tani 138,000 katika kipindi cha miezi miwili. Waziri Mchengerwa amesema…
