Wabunge wataka Maliasili iongezewe bajeti
Wabunge wameipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mapinduzi makubwa yanayofanywa hivi sasa na kutaka wizara hiyo iongezewe bajeti ili iweze kufanya vizuri zaidi katika mwaka wa fedha 2023/24. Baadhi ya wabunge waliochangia hotuba ya Wizara ya Maliasili na Utalii, ni Mbunge wa viti maalum Njombe (CCM) Neema Mgaya ameitaka Serikali kuangalia namna ya kurudisha…
