Home BIASHARA CORONA: Dala dala Dar es Salaam, Lever Seat

CORONA: Dala dala Dar es Salaam, Lever Seat

0 comments 390 views

Corona, watoa huduma ya usafili katika jiji la Dar es Salaam maarufu kama (Dala Dala), wameanza kutekeleza maagizo ya kutokujaza abiria kupita kiasi.
Katika mikakati ya kupambana na ugonjwa wa corona, serikali kupitia jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani linasimamia kuhakikisha kila gari ya abiria linabeba abiria kulingana na idadi ya siti zilizopo.
Mapema leo idadi kubwa ya dala dala imeonekana ikiwa na abiria Lever Seat.

Pesatu ni jukwaa la habari, elimu ya kifedha, na ujasiriamali Tanzania. Tunakuletea taarifa mpya za biashara, uwekezaji, ajira, kilimo, mitindo, na burudani, pamoja na mwongozo wa kufanikisha mafanikio yako. Kwa makala zetu, mwongozo wa vitendo, na taarifa za hivi punde, tunasaidia wajasiriamali, vijana, na jamii kupata maarifa yanayoweza kubadilisha maisha yao na kuongeza fursa za kifedha.

Jarida la Habari

PESATU – Haki Zote Zimehifadhiwa. Imetengenezwa na Mediapix Limited