MAPINDUZI MAPYA YA USAFIRI WA MAJINI KANDA YA ZIWA

Mapinduzi mapya ya usafiri wa majini kanda ya ziwa.Usiku wa giza katika usafiri wa majini kwenye Ziwa Victoria umeanza kufifia na kutoa nafasi kwa alfajiri mpya yenye matumaini makubwa. Katika tukio la kihistoria lililoshuhudiwa na maelfu ya wananchi, MV NEW MWANZA YAZINDULIWA RASMI na Waziri Mkuu,Dkt. Mwigulu Nchemba. Uzinduzi huu si tu kuanza kwa safari…

Read More

MIAKA 10 BILA MABADILIKO YA BEI YA UMEME TANZANIA

Miaka 10 bila Mabadiliko ya bei ya umeme Tanzania.Katika kipindi ambacho uchumi wa dunia umekuwa ukikabiliwa na mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali,kwani gharama za umeme Tanzania zimebaki kuwa thabiti na nafuu kwa kipindi cha muongo mmoja sasa. Hii ni hatua ya kimkakati inayolenga kumlinda mwananchi wa hali ya chini na kukuza viwanda. Mnamo Januari…

Read More

SERIKALI INAVYOJIPANGA UTEKELEZAJI WA UMEME VIJIJINI

Serikali inavyojipanga utekelezaji wa Umeme vijijini.Katika jitihada za kuhakikisha adhma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kufikisha nishati ya umeme kwa kila mtanzania inatimia,Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imekuja na mkakati mpya wa usimamizi. Mkurugenzi Mkuu wa REA,Hassan Saidy, ametoa mwongozo thabiti kwa wahandisi na wasimamizi wa miradi wa mikoa ili kuharakisha utekelezaji wa…

Read More

USHIRIKISHWAJI WA WAZAWA KATIKA SEKTA YA MADINI

Katika hatua kubwa ya kimkakati inayolenga kubadilisha sura ya uchumi wa mataifa ya Afrika, nchi za Tanzania na Ghana zimeingia katika ushirikiano mzito wa kitaasisi. Lengo kuu la ushirikiano huo ni kuimarisha utekelezaji wa sera za ushirikishwaji wa wazawa katika sekta ya madini (Local Content), ili kuhakikisha kuwa rasilimali zinazochimbwa zinawanufaisha wananchi wa nchi hizo…

Read More

TANESCO YAONGOZA MAPINDUZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Tanesco yaongoza mapinduzi ya nishati safi ya kupikia,Mabadiliko ya tabianchi na changamoto za kiafya zinazotokana na matumizi ya nishati zisizo salama zimekuwa ajenda kuu nchini Tanzania. Katika kuunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kigamboni limechukua hatua madhubuti kueneza elimu…

Read More
Ukuaji Sekta ya Madini waongeza mahitaji ya umeme Tanzania: Dkt. Biteko pesatu.co.tz

Ukuaji Sekta ya Madini waongeza mahitaji ya umeme Tanzania: Dkt. Biteko

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amesema ongezeko la shughuli za uchimbaji na uongezaji thamani sekta ya madini limechochea mahitaji makubwa ya nishati ya umeme nchini, hali inayothibitisha kasi ya ukuaji wa sekta hiyo. Amebainisha hayo Septemba 28, 2025, wakati akihitimisha Maonesho ya 8 ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika mkoani Geita,…

Read More