MCHANGO WA NMB LUSHOTO WAINUA SEKTA YA AFYA NA ELIMU
Mchango wa NMB Lushoto wainua Sekta ya Afya na Elimu hii ni hatua kubwa ya kuimarisha huduma za kijamii, Mbunge wa Jimbo la Lushoto, Prof. Riziki Shemdoe, ametoa shukrani za dhati kwa Benki ya NMB kufuatia kutolewa kwa msaada mkubwa wa vifaa tiba na vifaa vya elimu. Msaada wa NMB Lushoto unatajwa kuwa ni mkombozi…
