Lijue soko la Hisa. Sehemu ya Pili
Kutoka kwenye muendelezo wa mada ya Lijue soko la Hisa. Mada iliyopita tulipata kufahamu nini maana ya hisa, pia tuliangazia tofauti kati ya primary market na Secondary Market. Kama hukupata nafasi ya kusoma unaweza rejea mada iliyopita ili kufahamu zaidi. Sasa basi leo tutaelezea mambo ya kuzingatia kabla ya kunua hisa na faida anazopata mtu…
