Airtel Money kulipia tiketi za ndege Air Tanzania

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limeingia ubia na kampuni ya mtandao wa simu ya Airtel ambapo wateja wake wataweza kulipia tiketi zao za safari kupitia Airtel Money.

Makubaliano haya yametangazwa rasmi na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo Edward Nkwabi na Mkurugenzi wa Airtel Money Isack Nchunda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *